Mhandisi wa Kilimo, Elibariki Nsenuka (pichani mwenye reflector jacket) kutoka Ellygreentech Co. Ltd akitoa maelezo juu ya Matumizi ya Ndege nyuki (drone) kwa waliohudhuria na wanafunzi kabla ya zoezi la unyunyiziaji dawa kuanza.

Mhandisi wa Kilimo, Elibariki Nsenuka (pichani mwenye reflector jacket) kutoka Ellygreentech Co. Ltd akitoa maelezo juu ya Matumizi ya Ndege nyuki (drone) kwa waliohudhuria kabla ya zoezi la unyunyiziaji dawa kuanza.

Wakulima wa miwa kutoka Vyama Ushirika vya Kiru 6, Gichameda na Matumairo, na Maafisa ugani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara, wakishiriki zoezi hilo la kudhbiti wadudu katika mbegu za miwa.

Wakulima wa miwa kutoka Vyama Ushirika vya Kiru 6, Gichameda na Matumairo, na Maafisa ugani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Babati wakishiriki zoezi hilo la kudhbiti wadudu katika mbegu za miwa.

Bodi ya Sukari Tanzania ikinyunyizia dawa kwa ndege nyuki (drone) ili kudhibiti kuenea kwa wadudu katika Kitalu cha mbegu za Miwa kilichopo Kijiji cha Kiru 6, Babati Mkoani Manyara

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania. Prof. Kenneth M. K. Bengesi (pichani) akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa Majukumu ya Bodi na mwelekeo wa utekelezaji kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023.

Habari Mpya